
Maelfu ya Wananchi wa Maswa mkoani Simiyu waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi Oktoba 11, 2025.










No comments:
Post a Comment