DKT. SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, November 3, 2025

DKT. SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS


Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Gwaride Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025.




No comments:

Post a Comment