DKT. NCHIMBI AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, November 3, 2025

DKT. NCHIMBI AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Masaju akimuapisha Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Novemba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akikabidhiwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Masaju, mara baada ya kuapishwa katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Novemba 2025.

No comments:

Post a Comment