Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chemba kwa ajili ya kukabidhi vifaa vya kufundishia na kujifunzia kwa vyuo vya VETA vya wilaya hiyo.
Aidha, Mhe. Wanu Ameir ameelezwa kuwa kwa mwaka wa fedha 2025/26, Wilaya ya Chemba tayari imepokea shilingi bilioni 1.83 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu, ikiwemo ujenzi wa miundombinu mbalimbali.






No comments:
Post a Comment