"Watu wote wanaoshawishi vurugu hawapo Tanzania, walioumia kwenye madhara kwa maana ya kuathirika kwa vurugu wapo Tanzania"
"Watanzania tushirikiane na tupaze sauti kuiambia dunia kwamba tunafahamu kinachoendelea , tunatka Marekani iheshimu uhuru na mamlaka ya Tanzania, tunaweza kujiendesha na tunafahamu yupo mualifu ambaye ni Mange Kimambi amejificha Marekani, tunatambua wao wanapambana na wahalifu na mwalifu mmojawapo ni Mange yupo kwenye ardhi yao, wamrudishe kwakuwa amekuwa sehemu ya kuchochea vurugu nchini"
"Mange amekiri kwamba kitendo cha Meta kuzuia akaunti zake kimekwamisha kuzuia vurugu za Disemba 9 pia amewashukuru Wakenya na kusema waendelee kuwasaidia kama wanavyowasaidiaga kwa maana tunajua wanaowatunza hao akina Hilda Newton wapo Kenya na wanahusika na machafuko..tunaitaka Kenya na wao kutoa ushirikiano wao katika kuwakamata wahalifu hawa"
Bw. 𝗛𝗮𝗯𝗶𝗯𝘂 𝗠𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗲
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali za Taifa
Mkutano na Waandishi wa Habari
🗓️17 Disemba 2025


No comments:
Post a Comment