DKT. KIJAJI AWASILI TFS KWA ZIARA YA KIKAZI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, December 30, 2025

DKT. KIJAJI AWASILI TFS KWA ZIARA YA KIKAZI.


Na Sixmund Begashe, Dodoma


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amewasili ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Jijini Dodoma, kwa lengo la kukagua shughuli za uhifadhi na Utalii.

Waziri Kijaji amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Nkoba Mabula, Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TFS, Prof. Dos Santos Silayo, Menejimenti ya Wizara pamoja na Maafisa wa taasisi hiyo pamoja na kukagua gwaride maalum lililoandaliwa na Jeshi la Uhifadhi

No comments:

Post a Comment