Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba leo Januari 08, 2026 anazungumza na Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika kongamano la mwaka linalofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini (JNICC) Dar es Salaam.
Kongamano hilo lina lengo la kuwakutanisha wadau wote wakuu wa sekta ya wamachinga na usafirishaji wa pikipiki na bajaji ili kutafakari kwa pamoja mustakabali wa kazi zao katika maendeleo ya jamii na Taifa letu.




No comments:
Post a Comment