
Mkurugenzi Msaidizi Kituo Cha Taifa cha Oparesheni na Mawasiliano ya Dharura Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Bi. Jane Kikunya akitoa maelezo juu ya usimamizi wa maafa kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea katika viwanja vya Dimani Nyamazi Zanzibar.

No comments:
Post a Comment