WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO KAZI WA MAWAZIRI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, January 12, 2026

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO KAZI WA MAWAZIRI.


WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.

Katika mkutano huo, viongozi hao wamejadili utekelezaji wa masuala mbalimbali ya Serikali yanayolenga kuimarisha utendaji kazi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment