
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) akichangia hoja wakati wa kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika lichotathimini viwango vya uchangiaji wa bajeti ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2027 hadi 2029 kilichofanyika kwa njia ya mtandano tarehe 6 Februari 2026, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) akifuatilia maelezo ya wajumbe wa kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kilichotathimini viwango vya uchangiaji wa bajeti ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2027 hadi 2029 kilichofanyika kwa njia ya mtandano tarehe 6 Februari 2026, jijini Dodoma

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akifuatilia Kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kilichotathimini viwango vya uchangiaji wa bajeti ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2027 hadi 2029 kilichofanyika kwa njia ya mtandano tarehe 6 Februari 2026, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akiteta jambo na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha, Bw. James Msina, wakati wa kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kilichotathimini viwango vya uchangiaji wa bajeti ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2027 hadi 2029 kilichofanyika kwa njia ya mtandano tarehe 6 Februari 2026, jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akifuatilia jambo na Afisa wa Idara ya Fedha za Nje, Bi. Glory Sindilo (kulia) wakati wa Kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kilichotathimini viwango vya uchangiaji wa bajeti ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2027 hadi 2029 kilichofanyika kwa njia ya mtandano tarehe 6 Februari 2026, jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)
Na. Peter Haule, WF, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), ameshiriki kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kilichotathimini viwango vya uchangiaji wa bajeti ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2027 hadi 2029 kilichofanyika kwa njia ya mtandano tarehe 6 Februari 2026 akiwa Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.

No comments:
Post a Comment