ULEGA AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, February 25, 2026

ULEGA AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI


Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) amewasili Mkoani Iringa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi na kupokelewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Iringa Benjamin Sitta leo tarehe 25 Februari, 2026.

Katika ziara hiyo, Waziri Ulega atakagua Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ikiwa ni pamoja na Miundombinu ya barabara na shughuli nyingine zinazotekelezwa katika Sekta ya Ujenzi.






No comments:

Post a Comment