Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, , akiongoza viongozi mbalimbali wa Wizara hiyo wakati wa kuwasili Bungeni jijini leo Mei 19, 2026, kwa ajili ya kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Miongoni mwa viongozi walioambatana naye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, , pamoja na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), , na viongozi wengine waandamizi wa Wizara hiyo.






No comments:
Post a Comment