Na Mwandishi Wetu - Dodoma
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Renatus Msangira kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), leo Juni 16, 2026 amewaongoza watumishi wa REA katika kuwaeleza wadau kuhusiana na miradi mbalimbali inayotekelezwa, hatua iliyofikiwa na mipango iliyopo kwa wannachi wanaotembelea banda la REA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi kwa Umma 2026 yaliyoanza leo jijini Dodoma.
Maadhimisho ya mwaka huu yamepambwa na kaulimbiu inayosema "Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu"







No comments:
Post a Comment