RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA NISHATI SABASABA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, July 13, 2026

RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA NISHATI SABASABA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba mara baada ya kufika katika Banda la Wizara ya Nishati katika kilele cha Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Kushoto kwa Katibu Mkuu ni Mkurugezi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO), Lazaro Twange.

No comments:

Post a Comment