INSP CATHERINE LANGE AENDELEA KUNG’ARA RIADHA BAMMATA 2026 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, September 26, 2026

INSP CATHERINE LANGE AENDELEA KUNG’ARA RIADHA BAMMATA 2026



Na Ssgt Mawazo Mtondo - MWANZA


Mashindano ya Riadha ya Bammata 2026 yameendelea, Septemba 25, 2026, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwa mbio za mita 5,000, sawa na kuzunguka uwanja mara 12.

Mkaguzi wa Magereza INSP Catherine Lange ameendelea kuonyesha ushindani baada ya kushika nafasi ya tatu, akirudia mafanikio aliyoyapata jana katika mbio za mita 10,000 za wanawake.

No comments:

Post a Comment