MWANRI AONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KUTEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 29, 2026

MWANRI AONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KUTEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA


Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Ndugu Aggrey Mwanri, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, leo Oktoba 29, 2026, ameongoza wajumbe wa Baraza hilo kutoka vyama vya siasa vyenye usajili kamili kutembelea Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Ziara hiyo imefanyika kuelekea uzinduzi rasmi wa Mji huo unaotarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 30, 2026, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

No comments:

Post a Comment