WIZARA YA NISHATI YAWASILISHA MABORESHO YA KANUNI ZA MIN - LNG MBELE YA KAMATI YA SHERIA NDOGO. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, October 20, 2026

WIZARA YA NISHATI YAWASILISHA MABORESHO YA KANUNI ZA MIN - LNG MBELE YA KAMATI YA SHERIA NDOGO.


Na Mwandishi Wetu - Dodoma.


Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amewasilisha maboresho ya Kanuni za Sheria Ndogo za Min - LNG mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Cecilia Pareso.

Kikao hicho kimefanyika leo, Oktoba 20, 2026 katika Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dodoma, kikiwa na ushiriki wa wajumbe wa Kamati hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA, Ndg. Salum Mnuna, wawakilishi wa Taasisi za Mafuta na Gesi chini ya Wizara ya Nishati pamoja na wataalam wa sekta husika.

No comments:

Post a Comment