AKIWA KAMBINI TIMU YA TAIFA YA BRAZIL, MTOTO WA KAKA AONYESHA KUWA NI 'NYOKA WA BAADAYE' - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, November 11, 2015

AKIWA KAMBINI TIMU YA TAIFA YA BRAZIL, MTOTO WA KAKA AONYESHA KUWA NI 'NYOKA WA BAADAYE'



Mtoto wa kiungo nyota wa Brazil, Kaka ameonyesha kwamba ana kipaji cha soka na kikiendelezwa atakuwa tishio kama baba yake.



Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, hilo amelionyesha Luca mwenye umri wa miaka sita baada ya kucheza soka utafikiri mtu mzima anayeipigania timu yake.

Mara kadhaa alionyesha kufanya juhudi za kumpita beki Luiz wakati alipotembelea kambi ya timu ya taifa ya Brazil jijini Sao Paulo ambayo inajiandaa kuwavaa wapinzani wao wakubwa, Argentina.




No comments:

Post a Comment