Mshambuliaji Arouna Kone akiifungia Everton moja ya mabao yake matatu jana katika ushindi wa 6-2 dhidi ya Sunderland Uwanja wa Goodison Park, mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Everton yalifungwa na Deulofeu, Coates la kujifunga na Lukaku, wakati ya Sunderland yalifungwa na Defoe na Fletcher PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, November 2, 2015
New
AROUNA KONE AWAFANYA MBAYA SUNDERLAND, APIGA HAT TRICK EVERTON IKIUA 6-2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment