Kwa mara nyingine tena nakutana na
headlines zinazomtaja staa wa soka Cristiano Ronaldo.. ana mpango wa
kuhama? Jibu ni NO !! Ikitokea anahama, tutegemee atavaa jezi ya
Manchester City ??
Majibu kayatoa kwenye sentensi chache tu, anathibitisha kwamba hana mpango na Man City hata kidogo >>>> ‘Mnadhani
pesa itaweza kubadili akili yangu wakati huu nikiwa na umri wa miaka
30? Sidhani kama inawezekana… kama ni ishu ya pesa basi ningeenda Qatar ambako nadhani wana pesa nyingi zaidi kuliko Man City‘ >>> Cristiano Ronaldo.
Kulikuwa na uvumi na tetesi kwenye Ulimwengu wa soka zikimtaja Ronaldo na mpago wa Man City…
Hilo swali tayari kalijibu kwenye hizo sentensi zake chache tu mtu
wangu, akimaanisha kwamba pesa sio tatizo kwenye soka lake!!
No comments:
Post a Comment