Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.
“Sina la kuzungumza juu ya Bond maana sihusiani naye, mapenzi yalikuwa zamani ila kama uchumba umevunjika basi namshauri Wastara akubaliane tu na matokeo kwani hata mimi muda wangu uliisha, tukaachana naye inawezekana ni hivyo umekwisha pia,” alisema Aunty Lulu.
No comments:
Post a Comment