Ushirikina ni jambo ambalo limekuwa
likihusishwa au kuchukua headlines kwa kiasi chake katika tasnia
mbalimbali ambapo mwimbaji Barnaba wa Bongo fleva alikutana na ripota wa
millardayo.com na kueleza jinsi alivyojengeka kiimani na katika
kumwabudu Mungu.
B-Boy anasema >>> ‘Mimi ni mtu
ambaye naishi kwa Mungu, namwamini Mungu..! hata ukiangalia studio yangu
Biblia imetawala na misalaba sababu namwamini Mungu, siamini kwenye
ushirikina hata kidogo, wanaoamini ushirikina waache waendelee kuamini
ila mimi naamini dua na kutembea na Mungu ni ushirikina tosha, huna hata
ya ushirikina mwingine’
No comments:
Post a Comment