Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo
cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa
Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:
"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa
Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon....
Alhamdulillah for everything tho...."
No comments:
Post a Comment