WENGER KOCHA BORA WA MWEZI ENGLAND, ABEBA TUZO YA 15 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, November 10, 2015

WENGER KOCHA BORA WA MWEZI ENGLAND, ABEBA TUZO YA 15



Arsene Wenger ameibuka na tuzo ya kocha bora wa mwezi uliopita katika Ligi Kuu England.

Hiyo ni ni tuzo ya 15 ya mwezi kwa Wenger tokea atue Arsenal mwaka 1996 akitokea Grampus Eight ya Japan.
Mwezi uliopita, Wenger amefanikiwa kuingoza Arsenal kuzitwanga Manchester United, Watford, Everton na Swansea City.

No comments:

Post a Comment