Ni
kwenye mkutano wa hadhara Pugu Dar es salaam ikiwaa ni muendelezo wa
ziara ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kusikiliza kero
mbalimbali za wananchi amekutana na kero ya maji Pugu. Baada ya meneja
wa mradi huo kueleza changamoto wanazozipata kwenye mradi huo na
kusababisha maji kutotosheleza RC Makonda aliahidi kutoa milioni 13 ili
kuhaikikisha wananchi wanapata maji, Unaweza kuangalia kwenye video hii
hapa chini.
No comments:
Post a Comment