
Mashine alizozitoa Naibu Waziri ni pamoja na mashine za kutotolea
vifaranga (incubators- mayai 1056 na mayai 528) mashine za matofali
(umeme na manual), mashine za Popcorn zenye matairi, vyerehani, mashine
za kutengeneza chaki (chaki 50,000-80,000 kwa siku), mashine za
kunyonyolea kuku mpaka kuku 500 kwa siku.
Mavunde ametoa mashine hizo zenye thamani ya milioni 55.8 ikiwa ni
sehemu ya utekelezaji wa ahadi yake katika uvhaguzi wa mwaka 2015
kuwezesha wananchi ili wajikomboe kiuchumi lakini pia kuunga mkono
mpango wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kuifanya Tanzania kuwa nchi
ya viwanda.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Walemavu, Anthony Mavunde akikabidhi mashine kwa vikundi mbalimbali vya
Dodoma Mjini.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya HiTECH International, Paul Mashauri akizungumza
jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde wakati wa hafla ya kukabidhi mashine
31 kwa wananchi wa Dodoma Mjini.
Mavunde ametoa mashine hizo zenye thamani ya milioni 55.8 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi yake katika uvhaguzi wa mwaka 2015 kuwezesha wananchi ili wajikomboe kiuchumi lakini pia kuunga mkono mpango wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.
No comments:
Post a Comment