Gumzo la Dar es salaam leo ni kuhusu
Tajiri Mtata ambae alijitokeza kwenye mnada kununua nyumba za LUGUMI
zenye gharama ya BILIONI 2 za Kitanzania zilizokua zinapigwa mnada na
YONO.
Muda mfupi baada ya kushinda mnada huo na kupata nyumba 3, Dr. Luis Shika alikamatwa na Polisi kwa kuvuruga mnada na kushindwa kutimiza sharti la kulipa asilimia 25 ya gharama huku akisema hajatembea na hizo pesa.
Kwenye hii video hapa chini Dr. Shika anatueleza yeye ni nani na anafanya kazi gani na alijitokeza kununua hizi nyumba kwa matumizi gani

No comments:
Post a Comment