JESHI LA POLISI LAANZA KUCHUNGUZA ASKARI WANAOGEUZA SIMU ZA WIZI DILI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, November 30, 2021

JESHI LA POLISI LAANZA KUCHUNGUZA ASKARI WANAOGEUZA SIMU ZA WIZI DILI


Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini SACP David Misime

Jeshi la Polisi Tanzania limeanza uchunguzi dhidi ya askari wanaotumia fursa ya watu kuibiwa simu kuanza kuwaomba pesa ili wawasaidie kutafuta simu hizo na hatua kali kwa askari wanaohusika na utovu huo wa nidhamu zitachukuliwa.


Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 30, 2021, na Msemaji wa Jeshi hilo SACP David Misime, na kusema tangu taarifa zilizoeleza kwamba askari wamegeuza simu za wizi kuwa miradi binafsi zitolewe jeshi hilo lilianza kufuatia.


Chanzo - EATV


No comments:

Post a Comment