Ni Mess tena atwaa Ballon D'OR ya saba ,,Je unafikiri hii ndio ya mwisho? - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, November 30, 2021

Ni Mess tena atwaa Ballon D'OR ya saba ,,Je unafikiri hii ndio ya mwisho?




Mchezaji wa klabu ya PSG ya nchini Ufaransa na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amefanikiwa kunyakua tuzo ya Ballon D'or kwa mwaka 2021 mbele ya mpinzani wake Robert Lewandowski ambaye ameibuka mshindi wa pili kwenye kinyang'anyiro hicho.


Wachezaji watano ambao waliiongia kwenye tano bora ni Lionel Messi(PSG), Ngolo Kante (Chelsea), Jorginho (Chelsea),Robert Lewandowski (Bayan Munich) na Karim Benzema (Real Madrid).


Messi amefanikiwa kuchukua tuzo hiyo mara saba kwake na kumuacha Christian Ronaldo ambaye amechukua tuzo hiyo mara tano.


Tuzo ya mchzaji bora kijana chini ya umri wa miaka 21 imekwenda kwa PEDRI (19)

Huku tuzo ya mshambuliaji bora wa FIFI ikichukulia na mshabulia wa Bayern Munich Robert Lewandowski

Alexia Putellas mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ballon D'Or kwa upande wa wanawake lakini pia ni kiungo mshambuliaji wa klabu ya Barcelona.

Huko Golkipa bora wa mwaka tuzo jiyo ikichukuliwa na Gigi Donnarumma wa PSG na timu ya taifa ya Italia.


Tuzo ya klabu bora ya mwaka imeenda kwa timu ya Chelsea ambayo imekjuwa na wachezaji wengi walioingia kwenye kinyang'anyiro ya tuzo ya Ballon D'OR.

Robert Lewandowski Tuzo ya mshambuliaji bora




Golikipa bora Gianluigi Donnarumma




Alexia Putellas mshindi wa tuzo yamchezaji bora waBallon D'Or kwa upande wa wanawake.


Tuzo hizo zimetolewa leo usiku Novemba 29,2021 nchini Ufaransa.


No comments:

Post a Comment