Ni hivi nakuhakikishia kwamba kwa wote wenye shughuli zao ikiwemo SEND OFF,HARUSI,KIPAIMARA, UBATIZO AU MSIBA ni kwamba suluhisho limepatikana kuanzia Mc ,Muziki,Keki, Chakula, Vinywaji,Mapambo pamoja na picha za mnato na video (Camera) usipate tabu jibu lako ni MALYAMPA EVENTS ambapo utapata huduma zote hizo na kwa bei nafuu sana kulingana na bajeti yako.
Usijali hata ukiwa nje ya Dodoma huduma utapatiwa bila wasiwasi wowote lakini pia kwa wale ambao wanataka ushauri juu ya namna ya kuandaa shughuli MALYAMPA EVENTS wao watakusaidia kila kitu kikubwa wewe ni kuwapatia kazi mengine waachie wao MALYAMPA EVENTS washughulikie.
Kwa maelezo zaidi wewe piga simu namba +255624947503 ili uweze kupatiwa huduma nzuri na bora ambayo huwezi kuijutia maisha yako yote.
Kuhusu chakula unaweza kuandaa kila kitu ukawapa kazi ya kukupikia tu na wakafanya kazi iliyotukuka ,wkikubwa nj kuwatafuta MALYAMPA EVENTS kwani wapo kwa ajili yako.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA +255624947503
FACEBOOK:Mc Patrick Malyampa
INSTAGRAM:Mcmalyampa
WOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment