Na,Okuly Julius, Dodoma
Hayo yameelezwa Leo Jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,Mhandisi Godfrey Chibulunje wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini.
Hata hivyo bei za rejareja za mafuta ya Petroli na Dizeli kwa mikoa ya kusini (MTWARA, LINDI NA RUVUMA) zitaendelea kuwa zile zilizotangazwa katika toleo la Januari 5,2022,ikisababishwa na kutokuwepo kwa Shehena ya mafuta iliyopokelewa kupitia bandari ya Mtwara kwa mwezi Januari.
Katika hatua nyingine Chibulunje amesema kutokana na ufuatiliaji wa mwenendo wa beinza mafuta katika soko la Dunia ,kuna uwezekano mkubwa wa kuongezeka kwa bei za mafutakwa mwezi Machi na Aprili 2022.
Pamoja na hayo ,EWURA inaendelea kufuatilia mwenendo huo kwa karibu ili kuishauri Serikali hatua za kuchukua katika harakati za kupunguza makali ya be za mafuta nchini.
Katika kuhakikisha kunakuwa na ushinda katika Bei zinazoanza kutumika kesho ununuaji wa mafuta kutoka kwenye maghala Sasa kutakuwa na Bei mbili ambazo ni Bei Kokomo ambayo muuzaji hatatakiwa kuzidisha na Bei ya chini ambayo vilevile muuzaji hatakiwi kushuka zaidi.
LIFUATALO NI JEDWALI LINALOONESHA BEI ZA REJAREJA ZA PETROLI, DIZELI NA TAA HAPA NCHINI (SHILINGI/LITA) KUANZIA TAREHE 2 FEBRUARI 2022
No comments:
Post a Comment