Na Mwandishi wetu Dodoma
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe.Aida Kenani amezidi Kutrendi kwenye vichwa mbalimbali vya Habari Nchini baada ya kumjia juu mkuu wa wilaya Nkasi mkoani Rukwa alipokuwa akichangia hoja kwenye kikao cha 7 cha bunge la bajeti la 12 Jijini Dodoma.
Mhe.Aidan amesikitishwa na kitendo alichokifanya Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mhe.Lijualikali kwa kuwasweka lumande Walimu wa jimboni kwake kwa madai ya kutosimamia vizuri pesa za Covid 19 zilizoletwa na Mhe.Rais Samia Suluhu.
No comments:
Post a Comment