Maamuzi hayo yamefikiwa usiku huu Mei 12,2022 kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichoanza kufanyika Mei 11,2022 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam lenye ajenda tano na kuhudhuriwa na wajumbe zaidi ya 400 wa chama hicho, wanaotoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar
Baada ya kura zilizopigwa na wanachama Matokeo ni kama ifuatavyo;
Kanda ya Victoria Wajumbe 44
-Wanaokubalia wavuliwe uwanachama 42
-Wasiokubali 1
-Wasiofungamana na Upande wowote 1
_Jumla kura 44
Kanda ya Nyasa Wajumbe 57
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 57
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
_Jumla ya Kura 57
Kanda ya Unguja Wajumbe 22
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 19
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 1
_Jumla ya Kura 22
Kanda ya Pemba 15
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 12
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 2
_Jumla ya Kura 15
Kanda ya Kusini 32
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 32
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
_Jumla ya Kura 32
Kanda ya Pwani 47
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 45
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 2
_Jumla ya Kura 47
Kanda ya Kati 44
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 44
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
_Jumla ya Kura 44
Kanda ya Serengeti Wajumbe 41
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 41
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
_Jumla ya Kura 41
Kanda ya Magharib Wajumbe 37
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 37
Wasiokubali 0
Wasifungamana na Upande wowote 0
_Jumla ya Kura 37
Kanda ya Kaskazini Wajumbe 61
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 61
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya kura 61
Kamati Kuu
Wanaokubali wavuliwe uanachama 23
Wasiokubali 0
Wasiofungamana 0
Jumla ya kura 23
*Wanaounga mkono wafukuzwe uanachama kura 413*
*Wasiounga mkono kufukuzwa kura 6*
*Wasiofungamana na upande wowote kura 4*
*Jumla ya kura zilizopigwa 423*
No comments:
Post a Comment