MHE.RAIS SAMIA AAHIDI MIL.10 KWA KILA MKOA KWA AJILI YA WAMACHINGA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, May 16, 2022

MHE.RAIS SAMIA AAHIDI MIL.10 KWA KILA MKOA KWA AJILI YA WAMACHINGA



Na Okuly Julius Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan awaahidi Viongozi wa Shirikisho la Machinga,Milioni kumi kwa kila Mkoa ili kutatua Changamoto na kero zao hapa nchini.

“Nimesikia changamoto za uendeshaji wa ofisi na nina ahidi kutoa milioni kumi kwa kila mkoa ili kutatua kero hiyo”Amesema Mhe.Samia Suluhu Hassan alipozungumza na wamachinga  kwa njia ya Simu wanaoendelea na mafunzo yao katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Mei 16,2022.

No comments:

Post a Comment