Mgeni rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango.
Hafla inayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre - Dodoma
#Tunajivuniakutimizamiaka50kwakishindo
Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio katika maadhimisho hayo.
#STAMICOnaMazingiraAt50




No comments:
Post a Comment