Waziri Mkuu Ameyasema hayo baada ya kufika katika Eneo ambalo Ndege hiyo imezama Mkoani Bukoba.
Hatua hiyo imekuja baada ya kupatikana kwa miili hiyo 19 na wengine 26 kuokolewa, hivyo kufanya idadi ya watu.
Ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Mkoani Dar es salaam kwenda Mkoani Bukoba ilianguka kwenye ziwa Viktoria asubuhi ya Leo 6 November 2022, Huku Chanzo Cha ajali hiyo ikitajwa kuwa ni mvua kubwa, ukungu na upepo mkali Hali iliyosababisha Ndege hiyo ya Shirika la Precision Air kuanguka kwenye ziwa Viktoria.
No comments:
Post a Comment