ABDULLA ASHIRIKI MATEMBEZI YA KAMPENI YA KUPAMBANA NA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, January 28, 2023

ABDULLA ASHIRIKI MATEMBEZI YA KAMPENI YA KUPAMBANA NA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla leo ameshiriki katika Matembezi ya kampeni ya kupambana na Magonjwa yasioambukiza yaliyoratibiwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na wizara ya Afya.


Matembezi hayo yaliyoanzia Maisara hadi Uwanja wa Amani.

katika Matembezi hayo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi...leo tarehe 28.01.2023


No comments:

Post a Comment