HABARI PICHA WAKATI WA KIKAO CHA KUWAPITISHA WAKURUGENZI WA WIZARA KWENYE MKAKATI WA UWAJIBIKAJI KISEKTA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA KIFUA KIKUU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, February 23, 2023

HABARI PICHA WAKATI WA KIKAO CHA KUWAPITISHA WAKURUGENZI WA WIZARA KWENYE MKAKATI WA UWAJIBIKAJI KISEKTA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA KIFUA KIKUU

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisiya Waziri Mkuu Bw. Crispian Musiba akiongoza kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu kilichofanyika tarehe 23 Februari, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
Mratibu wa Uraghbishi na Mawasiliano Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu na Ukoma kutoka Wizara ya Afya Bw. Julius Mtemanji akiwasilisha mada wakati wa kikao hicho.
Mshauri Mwelekezi Mhe. Oscar Mukasa akiwasilisha mada katika kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu kilichofanyika tarehe 23 Februari, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu wakifuatilia kikao hicho.
Baadhi ya washiriki wa kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu wakifuatilia kikao hicho.
Washiriki wa kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu wakika katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa kikao hicho.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment