BREAKINGNEWS:TINUBU ASHINDA URAIS NIGERIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, March 1, 2023

BREAKINGNEWS:TINUBU ASHINDA URAIS NIGERIA


 MWANASIASA Mkongwe Kutoka Nchini Nigeria, Bola Ahmed Tinubu ametangazwa Rasmi mshindi wa uchaguzi wa urais wa Nigeria 2023.

Tinubu ana historia ndefu katika siasa za Nigeria na anajulikana kama mmoja wa wanasiasa Tajiri zaidi nchini Nigeria. 

Hapo awali alikuwa Gavana wa Jimbo la Lagos kuanzia 1999 hadi 2007, Mzee huyo mwenye umri wa miaka 70 alipata 36% ya kura.

Wapinzani wake Atiku Abubakar na Peter Obi wote wamedai marudio ya uchaguzi huo wakisema kuwa ni udanganyifu.

No comments:

Post a Comment