HABARI PICHA:DKT.YONAZI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MWALIMU NYERER FOUNDATION. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, May 22, 2023

HABARI PICHA:DKT.YONAZI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MWALIMU NYERER FOUNDATION.


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Mwalimu Nyerere Foundation Bw. Joseph Butiku alipomtembelea ofisini kwake Mei 22, 2023 Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment