Mbunge wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Aloyce Kamamba ameiomba serikali kupeleka vifaa tiba pamoja na madaktari katika Hospitali ya wilaya ya Kakonko.
Akijibu ombi hilo bungeni jijini Dodoma katika mkutano wa bajeti unaoendelea, Naibu waziri waziri wa TAMISEMI DEOGRATIUS NDEJEMBI amesema serikali imetenga fedha katika mwaka wa fedha 2023/24 na madaktari na vifaa tiba vitapelekwa katika hospitali ya Kakonko ili kutoa huduma kwa wananchi.
No comments:
Post a Comment