MATUKIO KATIKA PICHA:HAFLA YA UZINDUZI WA UCHANGIAJI WA FEDHA ZA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, May 20, 2023

MATUKIO KATIKA PICHA:HAFLA YA UZINDUZI WA UCHANGIAJI WA FEDHA ZA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI.


Hafla ya Uzinduzi wa Uchangiaji wa Fedha za Mapambano dhidi ya UKIMWI kupitia Programu ya Kupanda Mlima Kilimanjaro (Kili Challenge) mwaka 2023.




Hafla ilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment