SANGAWE AONGOZA KIKAO CHA WAKURUGENZI WANAOSIMAMIA MASUALA YA LISHE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, May 11, 2023

SANGAWE AONGOZA KIKAO CHA WAKURUGENZI WANAOSIMAMIA MASUALA YA LISHE

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Paul Sangawe akizungumza wakati wa kikao cha Wakurugenzi wanaosimamia Masuala ya Lishe ,kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo Nchini,kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tarehe 11 Mei 2023 Jijini Dodoma.
Mkuu wa Shughuli za Lishe kutoka UNICEF Bw. Patrick Codjia akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Afisa Elimu Mkuu kutoka Wizara ya Elimu Bw. Joel Mwamasangula akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Mkurugenzi wa Mipango Taasisi ya Chakula na Lishe Bw. Geofrey Chiduo akifafanua jambo wakati wa kikao cha Wakurugenzi wanaosimamia Masuala ya Lishe ,kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo Nchini
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia kikao hicho.

Na Mwandishi wetu -Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Paul Sangawe ameongoza kikao cha Wakurugenzi wanaosimamia Masuala ya Lishe ,kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu 11 Mei 2023 Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment