MUONGOZO WA UTEKELEZAJI WA DHANA YA AFYA MOJA WAJADILIWA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, June 27, 2023

MUONGOZO WA UTEKELEZAJI WA DHANA YA AFYA MOJA WAJADILIWA.

Mratibu wa Maafa kutoka Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Bw. Mololo Noah akiongoza kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa. Kikao kilifanyika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya regency Juni 27, 2023 Mkoani Singida.

Mratibu wa Maafa Mkoa wa Kagera Bw. Issa Mrimi akichangia jambo wakati wa Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa. Kikao kilifanyika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya regency Juni 26, 2023 Mkoani Singida.

Afisa Mazingira Mkuu kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Maili Ally Maliki akizungumza wakati wa kikao cha kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa. Kikao kilifanyika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya regency Juni 27, 2023 Mkoani Singida.
Afisa Programu Afya Moja kuoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Bi. Pelagia akifafanua jambo kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja. Kikao hiki kilihusisha washiriki kutoka sekta ya Afya, Mifugo, Mazingira, Wanyamapori, BAKITA na mashirika ya Umoja wa Kimataifa.


Baadhi ya washiriki wa kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyika Mkoani Singida.
Baadhi ya washiriki wa kikao cha Kuthibitisha Muongozo wa Utekelezaji wa dhana ya Afya Moja wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyika Mkoani Singida.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


No comments:

Post a Comment