Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Regine Hess.
Waziri Aweso na Balozi Regine Hess wamezungumzia maswala kadha wa kadha kuhusiana na Mashirikiano kati ya nchi ya Tanzania na Ujerumani katika sekta ya Maji na miradi ya kimkakati.
No comments:
Post a Comment