NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MADINI ATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, July 5, 2023

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MADINI ATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA


Leo Julai 05, 2023 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Dkt. Mussa Budeba ametembelea banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.


Wakati huohuo Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji wa Madini Tanzania ( FEMATA), John Bina ametembelea mabanda ya Tume ya Madini

No comments:

Post a Comment