Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea banda la Ofisi yake wakati wa Maonesho ya Kilimo Kimataifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 3 Agosti, 2023.
Kauli Mbiu ya Maonesho hayo ni " Vijana na Wanawake ni Msingo Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula"
No comments:
Post a Comment