MHAGAMA ATETA NA DKT.YONAZI KUHUSU KUENDELEA KUIMARISHA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, October 7, 2023

MHAGAMA ATETA NA DKT.YONAZI KUHUSU KUENDELEA KUIMARISHA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Ofisi yake kuhusu namna ya kuendelea kuimarisha Uratibu wa Shughuli za Serikali katika ofisi hiyo Jijini Dodoma tarehe 07 Oktoba, 2023.

No comments:

Post a Comment