Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu, kutoka Idara ya Sera, Wizara ya Fedha, Bw. Abdul Dachi (Katikati), akitoa elimu kuhusu sera mbalimbali zinazotengenezwa na idara hiyo, kwa mkazi wa Arusha, Bi. Magreth Msengi (Kulia), wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maadhimisho ya tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kauli mbiu ya “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”, yanayofanyika katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment