Huyu ni Mwimbaji wa nyimbo za injili anayejulikana kwa jina la Rozalia Magige au (ROZAA)
Na ni miongoni wa waimbaji mahiri na anaendelea kufanya vizuri.
Hizi ni baadhi ya nyimbo zake ambazo hakika zinafanya vizuri na zinabariki sana nakwambia hutajuta kuziangalia.
Rozaa - Nashukuru
Rozaa - Anajibu
Rozaa - Wa Thamani
Rozaa - Ni Ujumbe


No comments:
Post a Comment